Friday, December 5, 2025

Washambuliaji wa YANGA SC Wajitafakari, Sio Kila Siku Pacome Tu

  AjiraLeo Tanzania       Friday, December 5, 2025
HABARI ZA MICHEZO

Washambuliaji wa YANGA SC Wajitafakari, Sio Kila Siku Pacome Tu

Kwenye safu ya Ushambuliaji Ya Yanga ni Pac么me Zouzoua pekee anayeonesha kiwango kinachoendana na standard ya Yanga, sio rahisi group kubwa la wachezaji kucheza kwenye kiwango cha chini halafu mchezaji mmoja kuweza ku-maintain ubora wake kutoka mechi hadi mechi.
Nyota wa Young Africans Sports Club, Pac么me Zouzoua
CHECK NA HIZI:

Kwa level ya Yanga haitakiwi kua hivi, Ecua, Dube, Dumbia, Chikola na yoyote anyepata nafasi ya kuvaa jezi ya Yanga lazima waboreshe sana performance zao.
SIO KILA SIKU ITAKUA PACOME!
Source: Mchambuzi Nasir Khalfan
logoblog

Thanks for reading Washambuliaji wa YANGA SC Wajitafakari, Sio Kila Siku Pacome Tu

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment