Friday, December 5, 2025

Pacôme Zouzoua Kuondoka Yanga Dirisha Dogo la Usajili

  AjiraLeo Tanzania       Friday, December 5, 2025
TETESI ZA USAILI

Pacôme Zouzoua Kuondoka Yanga Dirisha Dogo la Usajili

Kwa taarifa ambayo imenifikia hivi punde inasemekana kuwa kiungo mshambuliaji wa YANGA Pacome ameomba kuondoka dirisha hili dogo la usajili linalofunguliwa kuanzia mwezi huu wa 12 Hadi January kwa kile kinachodaiwa kuwa hana furaha ndani ya klabu hiyo.
SPORTS,TETESI ZA USAJILI,Ligi Kuu ya NBC,NBC Premier League,Simba Sports Club,Young Africans Sports Club,HABARI ZA MICHEZO,Pacôme Zouzoua,YANGA, NEWS
Pacôme Zouzoua
Uongozi wa KLABU hiyo kupitia kamati tendaji wanafanya kila linalowezekana ili fundi huyo wa soka abakie klabuni hapo lakini hadi sasa inaonesha jitihada zimegoma mwamba kabisa.
CHECK NA HIZI:

Kama jambo hilo litafanikiwa basi YANGA wanaweza kuwa wamepata pigo kubwa sana hasa kwenye kwenda kumalizia michezo ya mwisho ya mzunguko wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika hatua ya makundi inayotarajiwa kuendelea kuanzia tena mwishoni mwa January mwakani.
logoblog

Thanks for reading Pacôme Zouzoua Kuondoka Yanga Dirisha Dogo la Usajili

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment