Friday, December 5, 2025

SIMBA Wamuamini Seleman Matola na Kumpa Nafasi ya Kocha Mkuu

  AjiraLeo Tanzania       Friday, December 5, 2025
HABARI ZA MICHEZO

SIMBA Wamuamini Seleman Matola na Kumpa Nafasi ya Kocha Mkuu

Kocha Seleman Matola kila akibakia na Timu pekee yake basi Simba lazima icheze vizuri na ushindi mnono unapatikana.
Seleman Matola,SPORTS,Ligi Kuu ya NBC,NBC Premier League,SIMBA SC,Simba Sports Club,HABARI ZA MICHEZO,NEWS,HOT NEWS,Ligi Kuu ya NBC 2025/2026,
Kocha wa muda wa Simba SC, Seleman Matola
Seleman vs Fountain Gate Simba alishinda bao 3 kwa bila na mpira mwingi ulipigwa.

Seleman Vs Namungo Fc Simba ilishinda bao 3 na Mpira mwingi ukapigwa pira sasampa.

Seleman Vs Mbeya City Simba imeshinda bao 3 kwa bila na mpira mwingi umepigwa tena hajawahi kuruhusu bao hata moja kwenye mechi zote ambazo yeye alibakia na timu.
CHECK NA HIZI:Sasa tunahangaika na nini kuleta wazungu kutoka nje ya nchi kwa gharama kubwa na wakati mzungu mweusi tunaye kwenye Benchi SELEMAN MATOLA VERON @seleman_matola ?

Ni wakati sasa wa uongozi wa Simba kufanya maamuzi magumu ya kumuamini Legendary MATOLA kwa kumkabidhi Timu kama kocha mkuu na kumpatia sapoti na ushirikiano mkubwa kama ambao huwa wanatoa kwa makocha wa kigeni Ili aweze kutekeleza majukumu yake na kuivusha Simba hapa ilipo kwenda kwenye nchi ya ahadi.

Wana Simba wenzangu naombeni tuamini makocha wazawa tuanze na MATOLA tuache maisha ya kukariri.
logoblog

Thanks for reading SIMBA Wamuamini Seleman Matola na Kumpa Nafasi ya Kocha Mkuu

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment