Thursday, May 29, 2025

MUUZAJI DUKA LA UREMBO at Lily’s Trends Accessories Tanzania

  AjiraLeo Tanzania       Thursday, May 29, 2025
Lily’s Trends Accessories Jobs 2025
Lily’s Trends Accessories
Jobs in Tanzania 2025: New Job Opportunities at Lily’s Trends Accessories 2025

๐Ÿ’ฅUNASUBIRI NINI? FOLLOW US ON INSTAGRAM. CLICK HERE!๐Ÿ’ฅ

Lily’s Trends Accessories Jobs 2025
MUUZAJI WA DUKA LA UREMBO (FULL-TIME)

MUUZAJI DUKA LA UREMBO at Lily’s Trends Accessories May 2025

๐ŸŒธ NAFASI YA KAZI: MUUZAJI WA DUKA LA UREMBO (FULL-TIME)
๐Ÿ“ Location: Mwenge Lufungira, nyuma ya AML Tower.
๐Ÿ“† Kuanzia: Mara moja
Lily’s Trends Accessories tunatafuta mrembo mwenye haiba nzuri, muaminifu na anayependa mitindo kujiunga na timu yetu ya mauzo!

๐Ÿ’ผ Majukumu:
- Kuhudumia wateja dukani kwa ukarimu na tabasamu ๐Ÿ˜Š
- Kujibu meseji za Instagram/WhatsApp kwa wakati ๐Ÿ“ฑ
- Kutangaza bidhaa kwenye status na mitandao ya kijamii ๐Ÿ“ธ
- Kupiga picha na kurekodi video fupi za bidhaa ๐ŸŽฅ
- Kusaidia kupanga na kupendezesha bidhaa dukani ๐Ÿ›️

✅ Sifa Unazotakiwa Kuwa Nazo:
- Uzoefu wa kuuza bidhaa za urembo (ni faida)
- Uwezo wa kutumia Instagram & WhatsApp Business
- Mpenda usafi, mpangaji mzuri wa bidhaa
- Mchangamfu, mwepesi kuelewa, mwenye ubunifu
- Awe anaishi karibu na duka au awe na uhakika wa usafiri
- ⁠umri kuanzia 20-25
- ⁠level ya elimu atleast diploma

๐Ÿ’ฐMshahara:
Unalipwa mshahara wa mwezi + motisha kulingana na mauzo.

๐Ÿ“ฉ Kutuma Maombi:
Tuma jina lako, picha, CV, uzoefu (kama upo) na kwa nini unafaa kwa nafasi hii kwenda:
๐Ÿ“ฑ WhatsApp: +255 792 800 505
๐Ÿ•˜ Mwisho wa kutuma maombi: 10/06/2025.
logoblog

Thanks for reading MUUZAJI DUKA LA UREMBO at Lily’s Trends Accessories Tanzania

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment