https://play.google.com/store/apps/details?id=com.ajiraleo.app
TAFUTA UNACHOTAKA, KIANDIKE KWENYE SEARCH BOX HAPA CHINI!

Friday, October 2, 2020

John MAGUFULI Ndani ya Zanzibar...Kuunguruma Kesho 03 October, 2020

  AjiraLeo Tanzania       Friday, October 2, 2020
WARNING
Beware of Job Scammers!
Please Never Pay Money To Get A Job!
 JPM ndani ya Zanzibar. Mgombea Urais Kwa tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli Kesho Jumamosi Oktoba 03, 2020 ataunguruma Visiwani Zanzibar Kwenye Mwendelezo wa Kampeni za Kunadi Sera bora za CCM, Ilani na Kuomba Kura Kwenye Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar. Mitambo imehamia Zanzibar. Diamond Platnumz na Wasanii wengine wengi Watakuwepo. #T2020JPM

Mgombea Urais Kwa tiketi ya CCM Dkt John Pombe Magufuli Kesho Jumamosi Oktoba 03, 2020 ataunguruma Visiwani Zanzibar Kwenye Mwendelezo wa Kampeni za Kunadi Sera bora za CCM, Ilani na Kuomba Kura Kwenye Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar. Mitambo imehamia Zanzibar. Diamond Platnumz na Wasanii wengine wengi Watakuwepo. #T2020JPM
logoblog

Thanks for reading John MAGUFULI Ndani ya Zanzibar...Kuunguruma Kesho 03 October, 2020

Previous
« Prev Post

No comments:

Post a Comment